Afande Sele, Tunda mtoto wa afande sele na mdogo wake Tunda |
Leo ilikuwa ni 40 ya Mke wa Afande sele amabayo imefanyikia nyumbani kwa Afande Sele mjini Morogoro na Wasanii ambao
watafanya show pale baadae kwenye jukwaa la #SerengetiFiesta2014 waliudhulia na kujumuika pamoja na msanii mwenzao na kubadilishana mawazo, Afande amewasii wasanii kukumbukana na kuwa pamoja sio tu kwenye matatizo nakuwaimiza waishi kwa upendo.