Klabu ya Pistons inayoshiriki kwenye ligi ya kikapu ya NBA imemuacha rasmi mchezaji wa kitanzania  Hasheem Thabeet, klabu hiyo imetangaza jana Jumatatu.
Thabeet ambaye alikuwa amesaini deal lisilo na guarentee (a non-guaranteed deal) na Detroit Pristons mnamo Sept. 24, baada ya kuachwa na Philadelphia 76ers, ambao walimchukua kutoka Oklahoma City Thunder Aug. 26 trade.
Thabeet—ambaye alishika namba 2 katika 2009 NBA Draft na kuchukuliwa na Memphis Grizzlies—alikuwa mmoja wanne waliotemwa jana jumatatu na Pistons. Timu hiyo ia imewaacha Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic.
Thabeet amecheza dakika 5 tu katika mechi za pre season msimu huu.
Alicheza katika mechi 23 katika mechi 82, akiwa zote anaingia kutokea benchi – akiwa na uwiano wa pointi 1.2 na  1.7 rebounds in 8.3 minutes per game.
 
Top