Mlinda mlango namba moja wa timu ya simba ivo ameoneshwa kushangaa baada ya kushuhudia kiwango cha peter katika mechi ya DAR derby iliyochezwa jumamosi ya tarehe 18.ilikuwa ni kwa mara ya kwanza peter kuchezeshwa katika mechi kubwa kama ile katika ligi ya VPL na alionekana kuwa katika uzoefu mzuri kama ni goli kipa mkongwe kama juma k.juma."golikipa ivo alionekana kukasilishwa na lawama za baadhi ya mashabiki kwa kuwa inaonekana yeye ndiye chanzo cha matokeo mabovu ya timu ya simba kwa mechi zilizopita"
ivo alisema“We always try our best to deliver on the pitch, and do what we have been instructed by our Coach, but perhaps we are sometimes unlucky” Ivo urged.
 
Top