SIMBA SC asubuhi ya leo, inacheza mechi yake ya pili ya kujipima nguvu itakapomenyana na Wits University mjini Johannesburg.Simba SC itaendelea kuwakosa wachezaji wake, Emmanuel Okwi, Miraji
Adam na Joram Mgeveke, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Said Ndemla na Haruna
Chanongo, walitarajiwa kuondoka Alfajiri ya leo kwa Ndege ya Shirika la
Afrika Kusini kwenda kuungana na wenzao.
Nyota hao wote wanatarajiwa kuichezea Simba SC katika mchezo wa tatu wa kujipima nguvu dhidi ya
Jomo Cossmos na Jumatano dhidi ya SuperSport United.Simba jumamosi iliyopita walicheza mechi ya kujipima nguvu na Orlando Pirates na kufanikiwa kutoa sare.
Jomo Cossmos na Jumatano dhidi ya SuperSport United.Simba jumamosi iliyopita walicheza mechi ya kujipima nguvu na Orlando Pirates na kufanikiwa kutoa sare.