Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo leo amekutana na RAIS wa CAF Issa Hayatou na kukubaliana nchi hiyo ya Equatorial Guinea kuwa mwenyeji wa AFCON 2015.
mashindano hayo yanataraji kuanza mnamo January 17 hadi February 8,2015 yakifanyika kwenye miji minne ya Malabo, Bata, Mongomo na Ebebiyin.
Droo ya mashindano hayo inataraji kufanyika jumatano ya tarehe 3,December,2014 mjini Malabo, Equatorial Guinea.
 
Top