AMANDA BYNES KWA RIHANNA: CHRIS BROWN ALIKUPIGA KWASABAB HUNA UZURI

   Amanda Bynes amshambulia Rihanna kupitia ukurasa wake wa twitter na kusema kuwa Chris Brown alimpiga kwasababu ni mbaya..hakijajulikana ni kitu gani kilichomfanya awe na hasira na Rihanna   Amanda alitweet na kufuta haraka  "@rihanna Chris Brown beat you because you're not pretty enough." na baada ya kuandika hicho aliendelea kwa kuandika maneno ya kashfa kuhusu kutaka kumuita mbwa wake Rihanna baada ya tweets...Read More

0 maoni:

Post a Comment

 
Top