Ethiopia na Somalia huku mama akiwa Mbongo, kabila lake ni msukuma. Jina la Batuli lilizaliwa kwenye kilinge cha filamu za nyumbani.
Mwigizaji huyu ambaye ni mama wa watoto wawili, Samir (9) na Malima (5), kwenye gemu la uigizaji aliingia rasmi mwaka 2008 kupitia Filamu ya Fake Smile iliyoandaliwa na marehemu Steven Kanumba.
Ni ‘brand’ kwa sasa kwenye soko la filamu kutokana na muonekano wake mzuri,…
0 maoni:
Post a Comment