NEY WA MITEGO: ASILIMIA KUBWA YA WASANII WANAOOA AU KUOLEWA WANAFELI KIMUZIKI

 Ikiwa ni miezi mitatu tu imebaki girlfriend wa Rapper Ney wa mitego "Siwema" kujifungua, Ney ameongea juu ya kushuka kwa mafanikio ya wasanii mara baada ya kuoa, ambapo yeye hatarajii kuoa hivi karibuni. Ney amesema wengi wa wasanii bongo mara tu baada ya kuoa wanashuka kimziki na kuwataja majina kwa kuwatolea mfano ambapo amesema Marlow kapotea baada ya kuoa, Matonya, Z...Read More

0 maoni:

Post a Comment

 
Top