TEVEZ AKAMIRISHA USAJILI WAKE WA KUJIUNGA NA JUVENTUS
Hatimaye carlos tevez amejiunga na mabingwa wa seria A juventus kwa ada ya paund million 10 akitokea man city.tevez akiwa na jezi yake mpya ya juve no 10 mgongoni.tevez ameonyesha furaha yake mara baada ya kusaini mkataba na club hiyo kwani alikuwa akiwaniwa na ACMILAN pia.kwa mkataba wa miaka 3
0 maoni:
Post a Comment