Baada ya habari kusambaa kuwa Agness Gerald na Melisa Edward wamekamatwa na madawa ya kulevya SA. Agness ajibu


Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald ambae wengi wanahisi ni  Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli) ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini na kuandika maneno haya
 na baadae kupost pichaa hii yenye caption hiyo hapo chini


0 maoni:

Post a Comment

 
Top