Steve rnb kudondosha single mpya "Huyu Dem" kesho akiwa na Mr Blue
Baada ya single yake (jambo jambo) kufanya vizuri sana kwenye stations mbali mbali, mkali wa R&B, Steve rnb anatarajia kuachia single nyingine kwa fans wa nyimbo zake na style yake siku ya kesho, single hiyo aliyoipa jina "Huyu Dem" amemshirikisha Mr Blue.
0 maoni:
Post a Comment