GARETH BALE AMWAMBIA AVB ANATAKA KWENDA KUCHEZA REAL MADRID
bale anataka kwenda real haraka iwezekanavyo aliongea hayo leo akielekea mazoezini kabla ya kukutana kikao na kocha wake AVB .mwenyekiti wa spurs amefungua milango kwa real madrid katika mazungumzo ya kutakka kumsajili kiungo huyo na kutaka kuonana nae August 6 mwezi huu kuzungumzia deal hili.tottenham wekubali kwa ada ya paundi millioni 115 kama ada ya usajili kwa bale.ujio wa kocha ancellot real umebadili mfumo mzima wa kiungo ronaldo kutaka kuchezeshwa kati na hivyo kutaka support kutoka winga wa pembeni kama gareth bale
0 maoni:
Post a Comment