clip_image001Swagga za mamaa Penny na ramadhaniclip_image001[6]Utamtakaaa jamani ramadhani watu tunabadilikaaaclip_image001[8]Daah Penny avumbua hivi vitambaa kwa wanaovihitaji mumcheki vizuri na vimempendeza
Tukiwa tunamaalizia ngwe ya mwisho ya mwezi wa ramadhani, mwenyezi Mungu atujaalie atuwekee wepesi katika kazi zetu,

naomba sana comment zenu msije mkaniharibia swaumu kwakweli siku zimebaki chache naombeni nimalize salama salmini Mwenyezi Mungu anifungulie mie so comment za ajabuu STOP sitoziruhusu
Mama Pennie na swagga zake za ramadhani kwakweli ni vya kipekee, Penny ze designer umetishaaa..

0 maoni:

Post a Comment

 
Top