Lulu akiri kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu yoyote kwa sasa
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (Lulu), amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotoka rumande, kupitia kipindi cha "Take one" kinachorushwa Clouds Tv.
Lulu ameongea mengi ikiwemo sababu za yeye kukaa kimya tangu awe huru, mambo asiyokuja kuyasahau maishani mwake,pamoja na project anayoifanya kwa sasa
0 maoni:
Post a Comment