Shilole azurura na taulo Marekani
Msanii Shilole ambae yuko marekani, amepiga picha inayomuonyesha akiwa nje, huku akiwa amevaa taulo.
kutokana na mtandao wa global, Shilole alifanya tukio hilo akiwa Maryland Marekani, pale alipokuwa akielekea supermarket, na baada ya kuulizwa kisa cha kufanya hivyo hiki ndicho alichokijibu
“Huku watu wanaishi kizungu hakuna mtu anayeshughulika na maisha ya mwenzake kila mmoja anahangaika na mambo yake kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa taulo na kwenda nalo supermarket, huku ni kawaida tu.”
Shilole yuko marekani kwa ajili ya kufanya show
0 maoni:
Post a Comment