The Premier League champions will return with one last offer for the Spain midfielder, but are pessimistic about their chances and have lined up a number of alternative signing
man u waongeza tena kiasi cha hela kwa mara ya tatu kwa ajili ya kumshaili cesc fabregas na kufikia paund million 41..man u wameongeza kiasi hiki mara baada ya kutangaza kiasi cha paund milioni 35 na nyongeza ya malipo kwa mchezaji huyo lakini barcelona walituipilia mbali ofa hiyo.Moyes ameaonyesha nia ya kumuhitaji kiungo huyo ingawa bado timu yake haijaweka wazi kuhusu msimamo wake wa kumuachia kwa mashetani hao wa london

0 maoni:
Post a Comment