SINA SABABU YA KUONDOKA PSG  HAYO MANENO YA IBRAHIMOVIC

I have no reason to leave PSG, says Ibrahimovic
sina sababu ya kuondoka psg mwenye miaka 31 amesema hana nia ya kuiacha PSG kutokana na kusajiliwa kwa edson cavan kwa ada ya paundi millioni 63 kutoka napoli.ibrahimovic ni moja ya wachezaji waliokuwa wakiangalia na kucha wa real madrid..alisema nimesajilia na psg na nipo kwa ajili hiyo kwa sababu nimebakiza mkataba wangu wa miaka miwili ndani ya club hii kwa kuitumikia..

0 maoni:

Post a Comment

 
Top