NAPOLI WAANDA KITITA KUMNASA WINGA WA REAL HIGUAIN kwa uero million 35.
napoli wajiweka katika mazingira mazuri ya kuweza kumsajili mchezaji wa real higuan..napoli yafanya hivi mara baada ya ku,uuza kiungo wao mahili edson cavan kwa matajiri wa PSG huko ufaransa kwa ada ya uero millioni 60.napoli iliyo chini ya kocha rafael aliye kuwa kocha wa muda wa chelsea na kuiongoza kuchukua taji la europa cup mwaka huu
0 maoni:
Post a Comment