MADRID YASHINDA KWA KISHINDO 6 - 0
Bournemouth 0-6 Real Madrid: Ronaldo at the double as Ancelotti era starts in style
real madrid yaipa kichapo kinono timu ya bournemouth ikiwa ni mchezo wa kwanza chini ya meneger mpya carlo ancelloti...magoli ya real yamefungwa na wachezaji wake Ronaldo,Sami Khedira,Higuain ,Angel Di Maria..mshambuliaje wake machachali ronaldo akiongoza kwa idadi ya magoli katika mchezo huo
0 maoni:
Post a Comment