PEPE ATENGA KITITA KUMSAJILI DAVID LUIZ PAUNDI MILLIONI 40
kocha mpya wa bayern munich baada ya kichapo cha dortmound atenga kitita kwa ajili ya kumsajili beki wa chelsea raia wa brazili kwa ada ya paundi millioni 40.ujio wa jose mourinho ulionesha kuto kumwamini mbrazili huyu.bado tarifa rasmi hazija tolewa na uongozi wa chelsea.kocha huyo mreno alikanusha kwamba awezi muuza mchezaji yoyote toka ktk kikosi chake hicho

0 maoni:
Post a Comment