Unyama: Mwanaume (32) amuua mwanae na kumyonya damu

Mwanaume wa miaka 32 mkazi wa nyanchwea jimbo la kisii , Kenya, amuua mwanae mwenye umri wa miaka 2 kwa kumkata kata kisu na kisha kumyonya damu yake, kuna tetesi kuwa jamaa huyo alimpata mtoto huyo nje ya ndo, na alikuwa ameshamwambia mkewe wamuue kwa muda mrefu.
inasemeka mwanaume huyo alikuwa anajiihusisha na biashara haram ya uuzaji wa bangi inayotoka Tanzania. Mwili wa marehem umehifadhiwa hospitali.


0 maoni:

Post a Comment

 
Top