Ney wa Mitego msanii kutoka Manzese ambaye anafanya vizuri hivi sasa na nyimbo zake kadhaa hasa collabo aliyofanya Diamond Platnums titled “Muziki gani” ndio mmiliki wa hili gari ambalo amelinunua siku kadhaa tu baada ya kuwa kwenye headlines mfululizo Tanzania kutokana na hiyo hit single ambayo kwenye maisha yake ndio single pekee iliyowahi kushika nafasi za juu kwenye chati mbalimbali. tofauti ikiwemo kujumuishwa kwenye tour ya Fiesta 2012.
Hivi karibuni Ney wa Mitego amenunua gari jipya aina ya Altezza ambayo according to Ney wa Mitego imemtoka millioni 13, ni halali yako kuzitazama hizi Exclusive pictures.
0 maoni:
Post a Comment