Gareth Bale

Zidane: Let us talk to Gareth

gwiji wa zamani wa real jana ametaka club ya spurs iruhusu uongozi wa real kuzungumza na bale mwenyewe kwani hii ni chance yake ya mwisho kwa mchezaji huyo kuweza kutoa maamuzi anataka kujiunga na real madrid au hataki.
Carlo Ancelotti and Zinedine Zidane
spurs wanaamini mchezaji wao anaweza funja record ya usajili ule wa Christian Ronaldo wa Manchester united kwa ada hiyo wanayo itaka real walipe kumpata mchezaji huyo

0 maoni:

Post a Comment

 
Top