BLUES WASEMA PAUNDI MILLIONI 60 ADA YA KUMCHUKUA DAVID LUIZ KWA BAYERN
LUIZ-ING OUT ... Brazilian star David Luiz will set Bayern back a whopping £60million\
Chelsea wamewaambia bayern kama watamwitaji david luiz watoe paundi million 60.kocha mpya wa bayern alitoa millioni 40 kama ada ya kumsajili david mwenye umri wa miaka 26 raia wa brazil.lakini chelsea walisema hawata muuza mchezaji yoyote msimu huu .kama bayern watamtaka watoe paundi million 60
0 maoni:
Post a Comment