BAADHI YA WASANII WALIOJITOKEZA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA 'YAHAYA' NYUMBANI LOUNGE .

Video ya yahaya ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi,Vanessa Mdee, Mkoloni na wengine kibao waliweza kufika na kutoa ushirikiano kwenye uzinduzi wa video hiyo.

Hizi ni baadhi ya picha za wasanii ambao walishiriki kwenye tukio hilo lililo fanyika pale nyumbani lounge siku ya jana.



0 maoni:

Post a Comment

 
Top