BALE ASISITIZA KUWA HAWEZI KUICHEZEA SPURS TENA
kutoka katika jarida la the sun kiungo wa tottenham bale ame sisitiza kwamba hato vaa tena jezi ya club hiyo.kumekuwepo na mabishano baina ya pande hizo mbili kufikiana makubaliano ya kumuuza mchezaji huyo ambazo ndio chanzo kikubwa cha kumchanganya mchezaji huyu kutokana na kuto kujua ni kwanini club yake ya spurs inashindwa kufikia makubaliano na club ya real madrid katika ada ya uwamisho wake.mchezaji huyu ameonesha kuchukizwa na mwenyekiti wake wa spurs daniel levy bale anamuona mwenyekiti huyu kama msaliti katika kufanikisha ndoto zake za kuchezea club kubwa duniani hususani real madrid na barcelona.kucha mpya wa real ameshindwa kuweka wazi nia yake kama kweli anamuhitaji nyota huyu.

0 maoni:
Post a Comment