tunapozungumzia usajili ulioshika namba moja kwa majira haya barani ulaya basi ni wa mchezaji wa tottenham kuhamia real madrid kwa ada ya paundi millionii 105.kwa mara ya pili bale alionekana akiwaaga wachezaje wenzake ikiashiria ndio safari yao ya mwisho kuwa katika kikosi cha timu hiyo spurs.Real na tottenham wamekubalia kwa ada hiyo ikiwa ni kwa usajili wa chezaji huyo .Real wametowa millioni 105 paundi kwa mkataba wa miaka 5 na wameweka wazi malipo ya kwanza hayata pungua millioni 25 ikiwa ndo malipo yanayoweza mruhusu kiungo huyo kwenda spain.ujio wa mchezaji huyo yawezekana ikawa safari ya christian ronaldo katka club hiyo
MADRID WAFIKIA MAKUBALIANO NA SPURS

0 maoni:
Post a Comment