MANCHESTER UNITED WAJIANDA KUPATA SIGN YA FABREGAS
Manchester United gives up on signing Fàbregas says Zubizarreta

Andoni Zubizarreta, Barcelona's Director of Football,amesema barcelona wapo katika mazungumzo na nyota huyo raia wa hispania .man u kwa mara ya mwisho walituma ofa ya paundi millioni35 na bado ikawalazimu man u kuongeza dau hadi paundi millioni 40.man u wanasubiria kufukia makubaliano namchezaji huyo kwani club yake imeonesha kuto kumwitaji na yeye mwenyewe  anaona kazi ngumu kuwa chaguo la kwanza kikosini hapo

0 maoni:

Post a Comment

 
Top