Manchester United re-open Rooney talks with Chelsea & moot Mata swap as part of discussions
mau united leo wamefungua mazungumzo na club ya chelsea kwa makubaliano ya kwanza ambayo timu ya chelsea ili weka mchezaji wake juan mata akiwa ni sehemu ya uhamisho wa mchezaji huyo raia wa uingeleza.mazungumzo hayo yamekuja mara baada ya man u kukata ofa ya chelsea ya paund million 40 iliyo tolewa kipindi cha wiki mbili zilizo pita.japo chelsea ilikanusha uwepo wa kuwaweka david kuiz na mata wakiwa kama ndo chambo kwa mchezaji wayne rooney..ingawa bado taarifa hizo za kukubaliana ktk uhamisho huu bado hazijawekwa wazi kwa club zote mbili

0 maoni:

Post a Comment

 
Top