Baada ya jana kuripotiwa kwamba jezi ya Real Madrid namba 11 yenye jina la Gareth Bale imekuwa inauzwa kwenye maduka mengi barani ulaya - leo hii klabu ya Real Madrid kupitia mtandao wake rasmi imeanza kuuza jezi namba 11 kwa kiasi cha £53. Hatua inakuja baada ya mkurugenzi wa ufundi wa Spurs Franco Baldini akiripotiwa kuwa jijini Madrid kukamilisha taratibu za kumuuuza Bale kwa ada ya uhamisho ya £94m.


0 maoni:

Post a Comment

 
Top