Picha: Dance la Fiesta ndani ya mkoa wa Kigoma


 Judges Panel B12, Adam Mo Producer (katikati) na Millard Ayo wakiwa ndani ya Club ya Lake View Kigoma kwa ajili ya usaili wa Dansi La Fiesta 2013.
 Kundi la Step Up Revolution ambalo limepita kwenda hatua ya fainali ambapo watachuana vikali tena na kundi la Step Down Revolution kwenye jukwaa la Fiesta 2013 siku ya Jumamosi 17 August 2013 kwenye viwanja vya Lake Tanganyika. Usaili ulifanyika kwenye Club ya…

 Kundi la Step Down Revolution  na kundi ambalo litapambana na kundi la Step Up Revolution kwenye jukwaa la Fiesta 2013 siku ya Jumamosi 17 August 2013 kwenye viwanja vya Lake Tanganyika. Usaili ulifanyika kwenye Club ya Lake View mjini Kigoma..Twenzetu.

 Adam Mchomvu ambae alikuwa MC ya shindano hilo la Dansi la Fiesta 2013 Kigoma.


 Mwenyekiti wa kamati kuu ya Fiesta 2013 @SebaMaganga akiwa na karatasi ambazo zilionyesha kundi gani litaanza kuonyesha vitu vyake kwenye stage ya shindano la Dansi La Fiesta 2013 ndani ya club ya Lake view jana usiku Alhamisi 15 August 2013 --> Twenzetu.





 Alemasi Mzambele (Shabiki mkubwa wa Clouds) akiwa na Adam Mchomvu wakitangaza washindi wa Dansi La Fiesta usiku wa Alhamisi 15 August ndani ya club ya Lake View Kigoma mjini.

0 maoni:

Post a Comment

 
Top