Chege-na-Temba

wanamuzikiwa kundi la tmk chege na temba wamepata savu nono la kufanya show ulaya mwishoni mwa show ya fiesta itakayo fanyika shinyanga na kuondoka nchini.hayo yamesemwa na mkurugenzi wa kundi hilo said fella.mwanamuziki mwingine aliye ondoka na kwenda nje kwa show ni ommy dimpoz ambaye anafanya show hizo na kurudi kwenye fainal ya fiesta mwaka huu.Diamond ni miongoni mwa wasanii anaye enda fanya show nje anaelekea malaysia  wiki ijayo













0 maoni:

Post a Comment

 
Top