PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge! Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe alitolewa nje ya Bunge leo mchana baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo.
0 maoni:
Post a Comment