Wakazi wa Mtwara wajitokeza kwa wingi katika Tamasha la Burudani la Serengeti Fiesta 2013.
Dj Mully B akiporomosha mawe katika tamasha la serengeti Fiesta 2013 Mtwara.
Haya sasa naona viduku vimetawala hapa kwa wakazi wa Mtwara, ikiwa ni moja ya shangwe ya Serengeti Fiesta 2013.
Hapa Baba Levo akiporomosha shangwe kwa wakazi wa Mtwara.
Ile kitu cha majanga nayo ilidondoshwa na Snura katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 Mtwara, akiwadatisha na ile staili ya pekecha pekecha wakazi wa Mtwara.
Linah kutoka THT akifanya yake kwa stage
Young Killer msanii wa Hip Hop kutoka Mwanza anaetamba na kibao chake cha Mrs. Supper Star akifanya yake kwa stage.
PICHA NA MICHUZI JR

0 maoni:

Post a Comment

 
Top