Msafara wa magari kupitia barabara ya kyela tukuyu wakitangaza uzinduzi wa kampeni ya nani matani jembe inayo shindanisha mashabiki wa yanga na simba kampeni hiyo inaendeshwa kuptia bia ya kilimanjaro premium lager.
Wasani wa kikundi cha chacharito group wakiwa pagawisha mashabiki wa simba na yanga kupitia kampeni ya nani mtani jembe katika bar ya Free park iliyopo uyole jiji la mbeya.

Mhudumu wa kampeni ya nani mtani jembe akimwelekeza mteja namna ya kutuma namba zilizopo kwenye kizibo cha bia ya kilimanjaro premium lager ilikipa ushindi timu yake.
Shabiki wa yanga Bonifas Mwamboneka akikabidhiwa jezi ya timu ya yanga baada ya kujishindia kulenga mpira kwenye goli katika kampeni ya nani matani jembe kupitia bia ya kilimanjaro premium lager iliyo fanyika katika bar ya Free park iliyopo uyole jiji la mbeya..
Shabiki wa simba Zawadi Njengaje akifurahia jezi ya simba baada ya kulenga goli huku akiwa amefungwa kitamba katika kampeni ya nani mtani jembe kwa mashabiki wa simba na yanga.
Mashabiki wa simba na yanga Bonifas na zawadi wakifurahia ushindi wa jeza za timu zao katika bar ya free park katika kampeni ya kilimanjaro premium lager.

0 maoni:
Post a Comment