Muimbaji na Mtayarishaji wa muziki nchini,Raheem Ramadhani aka Bob Junior leo Novemba 27 ameonekana kukosa raha na usingizi baada ya gazeti la sani kudai kuwa ana uhusiano na Msanii mwenzake Vanessa Mdee.
Habari hiyo imeonesha kumkera na kumkosesha usingizi na kuamua kuandika ujumbe kwenye instagram 'HAYA NDIO MLIKUWA MKITAKA KUONGEA HAYA MSHAONGEA HAIWAHUSU ETI @vanessamdee ETI INAWAHUSU...!!