Mwenyekiti  wa Mashabiki wa Mbeya City, Wille Mastala akikabidhi Msaada wa Sabuni Sukar na Poda  kwa Muunguzi Mkuu  Agnes Mwanga (kulia) kwa ajili ya akina mama kwenye Hosptali Amana jijini Dar es Salaam jana. Picha na John Dande
Baadhi ya mashabiki wa Timu ya Mbeya City wakiwa wamebeba Baadhi ya Vitu kwa ajili ya Msaada wa wagonjwa wa kina mama wa Amana Hosptali jijini Dar es Salaa jana

0 maoni:

Post a Comment

 
Top