TANO BORA WA EBSS 2013 WAKIONYESHA UJUZI WAO STEJINI Mshiriki mmoja kati ya Tano Bora kutoka mkoani Mbeya, Amina Chibaba akifanya vitu vyake stejini. Amina akionyesha umahiri wake stejini.… Mshiriki mmoja kati ya Tano Bora kutoka mkoani Mbeya, Amina Chibaba akifanya vitu vyake stejini. Amina akionyesha umahiri wake stejini. Akizidi kulishambulia jukwaa la EBSS 2013 kwa fujo. Mshiriki Maina Thadei akionyesha manjonjo yake stejini. ...Akizidi kupagawisha katika fainali hizo. Maina akizidi kupigania ushindi wa EBSS 2013. Emmanuel Msuya mwanaume pekee aliyebaki katika shindano hili akionyesha umahiri wake stejini. Emmanuel akionyesha ufundi. ...Akiwania kuibuka mshindi wa EBSS 2013. Mshiriki Elizabeth Mwakijambile akiwa jukwaani. ...Eliza akiwapagawisha mashabiki. ...Akionyesha machejo yake. Mellisa John akiwa stejini. ...Akionyesha machejo yake.