Essien: Lack of games fuelled move
Essien akamilisha uhamisho wake wa kujiunga na ac milan kutokea katika club yaa chelsea,essien mwenye umri wa miaka 31 ameamua kujiunga na club hiyo akivutiwa hasa kufanya kazi chini ya rafika yake seedolf pia akiwa amechoshwa na kukaa benchi katika kikosi cha kocha mourinho katika kikosi cha the blues yenye makazi yake jiji london.nina furaha sana kujiunga Ac milan kukutana na sulley(muntari ),kaka na pia kocha wao mpya seedorf.pale nilipo zungumza na clarence ilikuwa rahisi kuchukua uamuzi,pia kocha wangu mourinho pia alinieleza juu ya uamuzi wangu wa kujiunga na milano kwa kuwa najiunga na milan nikiwa najua target yangu na yakuwa tunatakiwa kufanya vizuri msimu huu kuwezesha timu kushinda mechi nyingi zaidi jezi yangu na no 15,nachotakiwa kufanya ni kujituma sana katika mazoezi ili niendelea kujiweka nafasi nzuri kwa kocha wangu seedorf.akiwa chelsea essien ameshinda makombe mawili ligi kuu,ligi ya mabingwa ulaya,europa cup na makombe manne ya FA cup
 
Top