KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100. Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99.