1. West Brom walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1978
2. Everton walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1992
3. Newcastle walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1972
4. Swansea wao huu ndio ushindi wao wa kwanza Old Trafford kwa maana kwamba kablaa ya mchezow ajana walikuwa hawajawahi kuifunga United dimbani hapo.
Wakiwa chini ya David Moyes, klabu kama West Brom, Everton, Newcastle na Swansea wameweza kujiandikia historia mpya dimbani Old Trafford.

 
Top