chelsea yakamilisha usajili wa mchezaji wa benfica kwa ada ya millioni 25 ikiwa kwa mkataba wa miaka mitano na nusu (5) .matic amefurahia mkataba wake mpya wa timu yake ya zamani na kwa sasa upo kwa miaka mitano na nusu,akizungumza na vyombo vya abali mara baada ya kukamilisha vipimo jumanne hii na kwa sasa n mchezaji wa chelsea rasmi
MATIC AJIUNGA TENA NA CLUB YAKE YA CHELSEA KWA ADA YA euro 25 million