Real madrid waingia katika mbio za kumuwinda mchezaji wa man u na raia wa england wayne rooney
man united wajianda kumsajili mshambuliaji wa chelsea mata kwa ada ya paundi million 35,club hii ya man u wameingia hivyo mara baada ya kumkosa mshambuliaji katika kikosi chake
Man united & chelsea waingia kwenye mbio za kumuwinda mchezaji wa juventus berardi mwenye umri wa miaka 19.
chelsea wapo katika mbio za kumsajili diego costa kutoka club ya atletico madrid mwenye umri wa miaka 25.