Kama unakumbuka ni siku chache zimepita tangu PNC atangaze rasmi kujitoa Mtanashati Entertainment na kujiunga na crew nyingine ambayo nayo ikatangaza kufurahia kwake kumpata msanii huyo ambaye walidai na recording za ngoma zao zimeshaanza.
Lakini siku ya jana mmiiliki wa Mtanashati ambaye ni Ostazi Juma aliweka wazi kwenye mitandao ya kijamii juu ya tukio la kurudi kwa PNC na kumuomba msamaha na kuhitaji arudi tena kundini. Kama haitoshi kuweka wazi huko kuliambatana na maneno haya…
Status ya 1 “hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati.”
Status ya 2 “jamani mziki ni mgumu sana, pnc karudi kwa kuomba msamaha kwa boss wake Ostaz juma.”