NANI MCHEZAJI BORA KABISA KATI YA DIDIER DROGBA NA SAMUEL ETO'O. leo ni pata shika league ya mabingwa kwa kuwa wanakutana miamba wa soka barani afrika eto na drogba je ni nani kudhihirisha ubora wake leo..