Hapo jana baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiongozwa na JB waliamua kuchukua rasmi kadi za uanachama wa chama cha mapinduzi katika sherehe za miaka 37 ya chama hicho zillizofanyika huko jijini Mbeya. Baadhi ya wasanii hao ni JB, Richie, Irene Uwoya,Hadji Adam, Johari na Amanda poshy. Tazama picha hapo chini.
WASANII NAO WAJITUPA KUCHUKUA KADI ZA CCM KTK MAAZIMISHO YA MIAKA 37