Wachezaji hao walionekana wakiwa wamelewa wakicheza muziki barabarani - masaa kadhaa tangu timu yao ilipotolewa kwenye michuano ya ulaya.
Wachezaji hao wa timu ya taifa ya England walionekana wakiwa na marafiki zao wakinywa pombe huku wakicheza.
Welbeck akiyarudi |
Goma limekolea mpaka chini |
Cleverley aliye na chupa ya pombe pamoja na Welbeck wakimuingiza Ashley Young kwenye Taxi |
Zamu ya Cleverley kuyarudi sasa