Queen Darleen akisalimiana na mdogo wake Diamond wakati alipokuwa akiingia Back Stage ya Club Bilicanas, show ilikuwa poa sana kila mtu aliyekuwa kwenye ratiba hakukosea pale alipopewa nafasi yake yakuimba. Watu walikuwa wengi sana na msanii Diamond yeye alikuwa kama surprise kwa mashabiki wa Queen waliofika usiku ule.
Home
»
»Unlabelled
» QUEEN DARLEEN Afanya kweli usiku wa jana huku akiwa na mdogo wake DIAMOND (@diamondplatnumz)