PUMA WAZINDUA NJUMU MPYA ZITAKAZOVALIWA NA BALOTELLI, FABREGAS KOMBE LA DUNIA KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua viatu vya EvoPOWER kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil. Viatu hivyo vimezinduliwa na wachezaji nyota wawili, Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas wa Hispania. Viatu vya Puma Wachezaji wa Arsenal wakitumia viatu vya Puma katika mazoezi Daluga za Puma ni moyo mwingine Jamaa katinga buti za Puma tayari kwa kazi