article-2661366-1EEE047D00000578-177_964x558
Furaha: James Rodriguez akishangilia bao la kuongoza dhidi ya Ivory Coast kundi C
Got history: And the celebration wasn't bad yet again from the Colombians
Calm: Juan Fernando Quintero slots the ball past Barry to make it 2-0 to the South American side
Tembo wa pwani ya mgharibi mwa Afrika, timu ya taifa ya Ivory Coast wamechapwa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Colombia usiku huu.
Colombia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 64 kupitia kwa James Rodriguez, na katika dakika ya 70 , Juan Quintero aliiandika bao la pili Colombia.
Ivory Coast ilifunga bao la kufutia machozi katika dakika ya 74 kupitia kwa  mchezaji wa zamani wa Asernal  Gervinho.
 Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya kila mchezaji. Alama zimetolewa chini ya 10.
Kikosi cha Colombia: Ospina 6, Armero 7 (Arias 72), Yepes 7, Zapata 6, Zuniga 6, Sanchez 6 Moreno 6, Aguilar 6 (Mejia 78), Ibarbo 6 (Quintero 53 7), Rodriguez 7, Cuadrado 8, Gutierrez 6.
Waliofunga magoli: Rodriguez 64, Quintero 70

Kikosi cha Ivory Coast: Barry 6, Boka 6, Bamba 6, Zokora 5, Aurier 7, Die 6 (Bolly 73), Tiote 6, Gervinho 6, Yaya Toure 6, Gradel 6 (Kalou 67 7), Bony 5 (Drogba 60 5).
Mfungaji wa goli: Gervinho 73
Mwamuzi: Howard Webb (England) 7

 
Top